The Life Core now in Swahili!
270 pages
Kiini Cha Maisha (pdf) | |
|
Kiini Cha Maisha (Apple/Nook/epub) | ||
Kiini Cha Maisha- all above (pdf,Apple/Nook/Kindle/Amazon) | ||
Kiini Cha Maisha: paperback now available |
|
|
Cloud access to Swahili and Luwo Libraries (includes above downloads) |
|
Kiini cha maisha kinatambua sababu kadhaa zinazoleta kutokua katika kanisa la Kristo na pia kinapendekeza suluhisho madhubuti ya jinsi ya kuleta pamoja uhai wa Mungu katika moyo wa kanisa kupitia uongozi bora na mafundisho.
Mafundisho kabambe yanaanza wakati maono ya Bwana, kazi yake, na kanisa yanafanywa kwa njia ambayo watu wa Mungu wanatiwa nguvu na Roho kufanya mapenzi yake.
Watu wa Mungu wanapaswa kusisitiza kuwa makanisa, mikutano, mashule na viongozi wafundishe ukweli wa Mungu kwa njia inayoleta mabadiliko na kutia nguvu.
Kasisi Paul Bucknell anafunza katika mikutano ya uongozi wa Kikristo katika nchi nyingi duniani na pia ameandika vitabu kuhusu mambo kadhaa kama vile: Maisha ya Kikristo, uanafunzi, kuishi maisha ya kiungu, mafunzo ya bibilia, mwito katika huduma, ndoa, uzazi na kiwewe. Paul na mke wake Linda, wanaishi Pittsburgh, Pennsylvania, USA, na wana watoto wanane na wajukuu watatu. Yeye pia ni mwanzilishi na rais wa Biblical Foundations for Freedom, kinachopatikana kwenye mtandao.
Continue -> Other book introductions or BFF's resource store
Learn more about Biblical Foundations for Freedom or Rev. Paul J. Bucknell.